Monasi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Monasi (karne ya 3 - karne ya 4) alikuwa askofu wa 15 wa Milano, Italia Kaskazini [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads