Mtaguso wa Laterano (649)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mtaguso wa Laterano (649)
Remove ads

Mtaguso wa Laterano wa mwaka 649 ulifanyika katika Kanisa kuu la Roma (Italia) kwa agizo la Papa Martin I ili kulaani mafundisho yaliyoshikwa na Wakristo wengi wa mashariki ya kwamba Yesu hakuwa na utashi wa kibinadamu[2].

Thumb
Maksimo Muungamadini, mtunzi wa kanuni za mtaguso huo[1].

Ni jaribio la kwanza la Papa kuitisha mtaguso mkuu bila kibali cha Kaizari. Ingawa mtaguso huo haukukubaliwa kuwa mtaguso wa kiekumeni, maamuzi yake yalipitishwa na Mtaguso wa tatu wa Konstantinopoli mwaka 680.

Remove ads

Hati za mtaguso huo

Concilium Lateranense a. 649 celebratum, ed. Rudolf Riedinger (Berlin, 1984). Includes both Greek and Latin texts.

The Acts of the Lateran Synod of 649. Translated with commentary by Richard Price and contributions by Phil Booth and Catherine Cubitt, Translated Texts for Historians 61, Liverpool 2014.

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads