Mto Aba
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Aba ni mto uliopo ukanda wa kusini mwa Nigeria.

Chanzo chake kipo upande wa kaskazini wa mji wa Aba, na ukipita katika mji unapokea uchafu mwingi, hasa kutokana na majitaka na damu ya machinjo ya Aba[1].
Mto huo unaishia kwenye mto Imo. Njia yake huwa na urefu wa km 50.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads