Mto Morogoro
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Morogoro unapatikana katika Mkoa wa Morogoro na ndio ulioupa mji ulio makao makuu ya mkoa (pamoja na mkoa mzima) jina lake.
Inasemekana jina hilo limetokana na sauti ya maji yake katika kutiririka. Lakini wengine wanasema linatokana na upotoshaji wa jina la mwenyeji wa eneo lake, Muruguru (Mluguru).
Maji ya mto huo, unaopitia katikati ya mji wa Morogoro, yanaishia Bahari Hindi kupitia mto Ngerengere na mto Ruvu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads