Ruvu (maana)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ruvu (wakati mwingine pia "Luvu") inaweza kumaanisha
- Ruvu - mto muhimu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania ambao ni tawimto la mto Pangani, wakati mwingine pia jina mbadala kwa sehemu za mto Pangani
- Ruvu (Pwani) - mto wa Mkoa wa Pwani, Tanzania, unaokusanya maji kutoka milima ya Uluguru upande wa kusini
- Ruvu (Same) - kata ya Wilaya ya Same, Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania
- Ruvu (Kibaha) - kata ya Wilaya ya Kibaha katika Mkoa wa Pwani, Tanzania.
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads