Mto Simiyu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Simiyu ni mto wa Tanzania kaskazini ambao maji yake yanaingia katika ziwa Viktoria na hatimaye yanaelekea Bahari ya Kati kupitia mto wa Naili. Mdomo wake uko karibu na Magu Mjini. Tawimto muhimu ni mto Duma.
Mkoa ambapo unapitia unapata jina kutoka kwake: Mkoa wa Simiyu.
Remove ads
Hidrometria
Kiasi cha maji yanayopita katika mto huu unabadilika kimajira kutegemeana na kiasi cha mvua. Vipimo viko kama m³ / s (1999–2004).

Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads