Mtumba
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mtumba ni kata ya Dodoma Mjini katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 14,673 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17268 [2] waishio humo.
Makao makuu ya serikali
Eneo la Mtumba limechaguliwa kuwa na majengo ya makao makuu mapya ya serikali ya Tanzania. [3]. Eneo lililoandaliwa lina hektari 617 na wizara zote zimeshapokea viwanja mnamo Aprili 2019.[4]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads