Ndani ya Bongo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ndani ya Bongo ni jina la albamu ya pili kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop wa Dar es Salaam, Tanzania maarufu kama II Proud. Albamu imetoka mwaka 1996 mwaka mmoja tangu atoe albamu ya kwanza. Nyimbo kali kutoka katika albamu ni pamoja na Kwa Penzi, Ndani Ya Bongo na Mojakwamoja. [1] Albamu imetayarishwa na watayarishaji wakubwa wawili wa Tanzania, P. Funk na Master Jay.
Remove ads
Orodha ya nyimbo
- A1 - Intro
- A2 - Nimesimama
- A3 - KwaPenzi
- A4 - Mojakwamoja (Orgn.)
- A5 - Black Queen
- A6 - Mojakwamoja (Re-mix)
- B1 - Ndani Ya Bongo
- B2 - Fani
- B3 - Blaah Blaah
- B4 - Kwa Penzi (Remix)
- B5 - Got You Open
Tazama pia
- Nje ya Bongo
- Mikosi
- Muziki na Maisha
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads