Nerei mfiadini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nerei ni Mkristo wa Roma ya Kale anayeheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini pamoja na Achilei.

Habari zao zimesimuliwa na Papa Damaso I; kwamba walikuwa wamejiunga na jeshi, na kwa hofu walikuwa tayari kutii amri mbovu za hakimu, lakini kwa kumuongokea Mungu wa kweli, walitupilia mbali ngao, mavazi ya kijeshi na mikuki, waliacha kambi na kwa kukiri imani yao kwa Kristo, waliuawa [1].
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 12 Mei[2][3], siku ambayo maiti zao walizikwa katika makaburi ya Domitila mjini Roma.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads