Nostriano

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Nostriano (alifariki karne ya 5) alikuwa askofu wa 15 wa Napoli, Italia Kusini, kwa miaka 17.

Alikuwa rafiki wa askofu Quodvultdeus, mkimbizi kutoka Afrika Kaskazini[1].[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Papa Leo XIII alithibitisha heshima hiyo tarehe 2 Mei 1878.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Februari[3].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads