Numidiko
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rutilio (alifariki Karthago, 251) alikuwa Mkristo wa Tunisia ya leo ambaye wakati wa dhuluma ya Decius, kaisari wa Dola la Roma, aliteswa na kuchomwa moto kwa imani yake.
Kidogo kabla hajafa, askofu Sipriani alimtoa motoni na kumpa upadrisho.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads