Nyehunge
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nyehunge ni makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa nchini Tanzania.
Buchosa imekuwa wilaya mnamo mwaka 2016. Kwanza ilikuwa sehemu ya wilaya ya Sengerema, mkoa wa Mwanza.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 53,982 [1].
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads