Wilaya ya Buchosa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wilaya ya Buchosa ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania.
Buchosa imekuwa wilaya mwaka 2016. Kwanza ilikuwa sehemu ya wilaya ya Sengerema, mkoa wa Mwanza.
Makao makuu ya wilaya yako kwenye mji wa Nyehunge.
Katika sensa ya mwaka 2022wakazi walihesabiwa 413,110 [1].
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads