Odo wa Urgell
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Odo wa Urgell (Sort, Lerida, Hispania, 1064 hivi - Urgell, Hispania, 7 Julai 1122) alikuwa askofu wa mji huo wa Katalunya tangu mwaka 1095 hadi kifo chake.
Alichaguliwa na waumini kwa mashangilio akiwa bado mlei, halafu akathibitishwa rasmi.
Anaheshimiwa tangu kale kama mtakatifu kutokana na wema wake kwa wote, hasa maskini aliowatetea kwa bidii[1].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads