Ombeni Sefue

Mwanadiplomasia wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Ombeni Yohana Sefue (alizaliwa 26 Agosti 1954) ni mwanadiplomasia wa Tanzania aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi tarehe 31 Desemba 2011.[1] Pia aliwahi kuwa mwakilishi wa kudumu katika Umoja wa Mataifa.

Kuanzia mwaka 2007 hadi mwaka 2010 alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani na kati ya mwaka 1993 na 2005 alikuwa mwandishi wa hotuba za rais [2]

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads