Omobono
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Omobono (Cremona, Lombardia, Italia, karne ya 12 - Cremona, 13 Novemba 1197) alikuwa mfanyabiashara Mkristo maarufu kwa kuishi miaka mingi kwa sala, toba, kusaidia maskini kwa huruma, kupokea na kulea vijana wasio na ndugu, na kuleta amani kati ya watu, hasa katika familia[1].

Utakatifu wake ulithibitishwa na Papa Inosenti III tarehe 13 Januari 1199.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads