Orodha ya miji ya Ghana

From Wikipedia, the free encyclopedia

Orodha ya miji ya Ghana
Remove ads

Miji ya Ghana inaorodheshwa katika orodha ifuatayo. Yote iko ndani ya nchi ya Ghana huko Afrika ya Magharibi. Namba zinaonyesha idadi ya wakazi kulingana na matokeo ya sensa ya mwaka unaotajwa.

Thumb
Satellite Map of Ghana
Thumb
Detailed Map of Ghana
Thumb
Accra
Thumb
Kumasi
Thumb
Tamale
Thumb
Sekondi-Takoradi
Thumb
Sunyani
Thumb
Cape Coast
Thumb
Koforidua
Thumb
Tema
Thumb
Nyankpala
Maelezo zaidi Na., Mahali ...
Remove ads

Mirundiko ya mji mikumi mikubwa zaidi

Na. Eneo la rundiko Wakazi (sensa ya 2013) Mkoa
1 Accra 2,291,352 Greater Accra
2 Kumasi 2,069,350 Ashanti
3 Tamale 562,919 Kazkazini
4 Sekondi-Takoradi 445,205 Magharibi
5 Sunyani 248,496 Brong-Ahafo
6 Cape Coast 227,269 Kati
7 Obuasi 180,334 Ashanti
8 Teshie 176,597 Greater Accra
9 Tema 161,612 Greater Accra
10 Koforidua 130,810 Mashariki

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads