Tema
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tema ni mji wa bandari na viwanda nchini Ghana karibu na mji mkuu wa Accra kwenye mwambao wa Bahari ya Atlantiki.


Katika sensa ya mwaka 2013 kulikuwa na wakazi 539,548[1]
Hadi mwaka 1961 Tema ilikuwa kijiji kidogo cha wavuvi. Tangu mwaka huo bandari kubwa ya Ghana ilijengwa Tema pamoja na viwanda vingi. Imekuwa kitovu cha viwanda nchini. Kuna mawasiliano kwa reli na barabara kuu kati ya Tema na Accra.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads