Outkast

From Wikipedia, the free encyclopedia

Outkast
Remove ads

Outkast au OutKast ni kundi la muziki wa hip hop lenye makazi yake huko mjini East Point, Georgia nchini Marekani. Kundi linaunganishwa na watu wawili, ambao ni André "André 3000" Benjamin na Antwan "Big Boi" Patton. Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1990. Awali walikuwa wakijulikana kama The OKB (The OutKast Brothers) lakini baadaye wakabadilisha jina la kundi na kuwa OutKast. Mtindo wa uimbaji wa zamani wa kundi hili ilikuwa mchanganyiko wa Dirty South na G-Funk.[1] Tangu hapo, lakini, funk, soul, electronic music, ushairi wa kutamka maneno, jazz, na elementi za blues zimekuwa zikiwekwa kwenye muziki wao.[2][3]

Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Asili yake ...

Wawili hawa ni moja kati ya makundi ya hip-hop yenye mafanikio kwa muda wote, kwa kupokea tuzo sita za Grammy Awards. Zaidi ya nakala milioni 25 zimeuzwa kwenye matoleo nane ya albamu za OutKast: albamu za studio sita, toleo la vibao vikali, na albamu ilioshinda tuzo ya Grammy Award-ikiwa kama (Albamu Bora) Speakerboxxx/The Love Below, albamu ya pamoja iliyojumlisha albamu moja-moja kutoka kwa kila mwanachama.

Remove ads

Diskografia

Tazama pia Diskografia ya Outkast
  • Southernplayalisticadillacmuzik (1994)
  • ATLiens (1996)
  • Aquemini (1998)
  • Stankonia (2000)
  • Big Boi and Dre Present...OutKast (2001) (kompilesheni)
  • Speakerboxxx/The Love Below (2003)
  • Idlewild (2006)

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads