Paka-maji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Paka-maji (Felis chaus nilotica) ni mnyama mbuai wa nusufamilia Felinae katika familia Felidae. Paka huyu ni nususpishi ya paka-mwitu (Felis chaus)[1] na anatokea bonde la Mto wa Naili.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads