Paladi wa Auxerre
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Paladi wa Auxerre (kwa Kilatini: Palladius; karne ya 7 - Auxerre, leo nchini Ufaransa, 10 Aprili 658 hivi) alikuwa abati[1] halafu askofu wa 20 wa mji huo kuanzia mwaka 622 hadi kifo chake[2].
Alishiriki mitaguso mbalimbali na kupigania maadili na nidhamu katika Kanisa [3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads