Palemoni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Palemoni (alifariki Tabenisi, 325) alikuwa kati ya Wakristo wakaapweke wa kwanza, aliyeishi kwa kudumu katika sala na matendo ya toba kwenye jangwa la Misri ya juu alipokimbilia wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian.
Rafiki na zaidi mwalimu wa Pakomi, alisaidia kuunganisha wamonaki waishi kwa pamoja [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Januari[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads