Papa Adrian V
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Adrian V (takriban 1205 – 18 Agosti 1276) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12 Julai 1276 hadi kifo chake[1]. Alitokea Genova, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ottobuono Fieschi.
Alimfuata Papa Inosenti V akafuatwa na Papa Yohane XXI.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads