Papa Yohane XXI
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Yohane XXI (1215 – 20 Mei 1277) alikuwa Papa kuanzia tarehe 13 Septemba 1276 hadi kifo chake[1]. Alitokea Lisbon, Ureno[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pedro Julião au Pedro Hispano.
Alimfuata Papa Adriano V akafuatwa na Papa Nikolasi III.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads