Papa Alexander III
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Alexander III (1100/1105 – 30 Agosti 1181) alikuwa Papa kuanzia tarehe 7/20 Septemba 1159 hadi kifo chake[1]. Alitokea Siena, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Rolando Bandinelli.
Alimfuata Papa Adriano IV akafuatwa na Papa Lucius III.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads