Papa Benedikto XIV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Benedikto XIV (31 Machi 1675 – 3 Mei 1758) alikuwa Papa kuanzia tarehe 17/22 Agosti 1740 hadi kifo chake[1]. Alitokea Bologna, Italia[2]. .

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Prospero Lorenzo Lambertini.
Alimfuata Papa Klementi XII akafuatwa na Papa Klementi XIII.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads