Papa Konon
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Konon alikuwa Papa kuanzia tarehe 23 Oktoba 686 hadi kifo chake tarehe 21 Septemba 687[1].

Alimfuata Papa Yohane V akafuatwa na Papa Sergio I.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads