Papa Yohane V
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Yohane V alikuwa Papa kuanzia tarehe 23 Julai 685 hadi kifo chake tarehe 2 Agosti 686[1]. Alitokea Syria[2].

Alimfuata Papa Benedikto II akafuatwa na Papa Konon.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads