Papa Eugenio IV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Eugenio IV, Can.Reg. (1383 – 23 Februari 1447) alikuwa Papa kuanzia tarehe 3/11 Machi 1431 hadi kifo chake[1]. Alitokea Venezia, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gabriele Condulmer.
Alimfuata Papa Martino V akafuatwa na Papa Nikolasi V.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads