Papa Nikolasi V
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Nikolasi V (15 Novemba 1397 – 24 Machi 1455) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6/19 Machi 1447 hadi kifo chake[1]. Alitokea Sarzana, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tommaso Parentucelli.
Alimfuata Papa Eugenio IV akafuatwa na Papa Kalisti III.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads