Papa Gregori VIII

From Wikipedia, the free encyclopedia

Papa Gregori VIII
Remove ads

Papa Gregori VIII (takriban 110017 Desemba 1187) alikuwa Papa kuanzia tarehe 21/25 Oktoba 1187 hadi kifo chake[1]. Alitokea Benevento, Italia[2].

Thumb
Papa Gregori VIII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Alberto wa Morra.

Alimfuata Papa Urbano III akafuatwa na Papa Klementi III.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads