Papa Klementi III
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Klementi III (alifariki mnamo Machi 1191) alikuwa Papa kuanzia tarehe 19/20 Desemba 1187 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Paulo Scolari.
Alimfuata Papa Gregori VIII akafuatwa na Papa Selestini III.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads