Papa Honorius II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Honorius II (takriban 1036 – 13/14 Februari 1130) alikuwa Papa kuanzia tarehe 15/21 Desemba 1124 hadi kifo chake[1]. Alitokea Fiagnano, Imola, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Lamberto Scannabecchi.
Alimfuata Papa Kalisti II akafuatwa na Papa Inosenti II.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads