Papa Innocent XI
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Innocent XI (16 Mei 1611 – 12 Agosti 1689) alikuwa Papa kuanzia tarehe 21 Septemba/4 Oktoba 1676 hadi kifo chake[1]. Alitokea Como, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Benedetto Odescalchi.
Alimfuata Papa Klementi X akafuatwa na Papa Aleksanda VIII.
Papa Pius XII alimtangaza mwenye heri tarehe 7 Oktoba 1956.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads