Papa Innocent VII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Innocent VII (takriban 1336 – 6 Novemba 1406) alikuwa Papa kuanzia tarehe 17 Oktoba/11 Novemba 1404 hadi kifo chake[1]. Alitokea Sulmona, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Cosma Migliorati.
Alimfuata Papa Bonifasi IX wakati wa Farakano la Kanisa la Magharibi, akafuatwa na Papa Gregori XII.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads