Papa Klementi V
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Klementi V (1264 – 20 Aprili 1314) alikuwa Papa kuanzia tarehe 5 Juni/14 Novemba 1305 hadi kifo chake[1]. Alitokea Villandraut, Ufaransa[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bertrand de Got.
Alimfuata Papa Benedikto XI akafuatwa na Papa Yohane XXII.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads