Papa Leo XI
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Leo XI (2 Juni 1535 – 27 Aprili 1605) alikuwa Papa kuanzia tarehe 1/10 Aprili 1605 hadi kifo chake[1]. Alitokea Firenze, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Alessandro de' Medici.
Alimfuata Papa Klementi VIII akafuatwa na Papa Paulo V.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads