Papa Lucius II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Lucius II (alifariki 15 Februari 1145) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12 Machi 1144 hadi kifo chake[1]. Alitokea Bologna, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gerardo Caccianemici dal Orso.
Alimfuata Papa Selestini II akafuatwa na Papa Eugenio III.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads