Papa Nikolasi III
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Nikolasi III (1210/1220 – 22 Agosti 1280) alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Novemba/26 Desemba 1277 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Gaetano Orsini.
Alimfuata Papa Yohane XXI akafuatwa na Papa Martino IV.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads