Papa Nikolasi IV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Nikolasi IV, O.F.M. (30 Septemba 1227 – 4 Aprili 1292) alikuwa Papa kuanzia tarehe 22 Februari 1288 hadi kifo chake[1]. Alitokea Lisciano, Ascoli Piceno, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Girolamo Masci. Alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo, halafu mkuu wake kama mwandamizi wa Bonaventura wa Bagnoregio.
Alimfuata Papa Honori IV akafuatwa na Papa Selestini V.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads