Papa Paulo III
Kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka 1534 hadi 1549 From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Paulo III (29 Februari 1468 – 10 Novemba 1549) alikuwa Papa kuanzia tarehe 13 Oktoba/3 Novemba 1534 hadi kifo chake[1]. Alitokea Canino, Viterbo, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Alessandro Farnese.
Alimfuata Papa Klementi VII akafuatwa na Papa Julius III.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads