Papa Pelagio I
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Pelagio I alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Machi 556 hadi kifo chake tarehe 4 Machi 561[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Alimfuata Papa Vigilio akafuatwa na Papa Yohane III.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads