Papa Vigilio
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Vigilio alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Machi 537 hadi kifo chake tarehe 7 Juni 555[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Alimfuata Papa Silverio akafuatwa na Papa Pelagio I.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads