Papa Stefano III
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Stefano III (720 – 24 Januari 772) alikuwa Papa kuanzia tarehe 1/7 Agosti 768 hadi kifo chake[1]. Alitokea Sicilia, Italia[2].

Jina la baba yake lilikuwa Olivus.
Alimfuata Papa Paulo I akafuatwa na Papa Adriano I.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads