Papa Urban I
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Urban I alikuwa Papa kuanzia tarehe 14 Oktoba 222 hadi kifo chake tarehe 23 Mei 230[1]. Alitokea Roma, Italia.

Alimfuata Papa Kalisto I akafuatwa na Papa Ponsyano.
Urban I ni Papa wa kwanza ambaye tarehe zake zina hakika ya kihistoria[2]. Inaonekana hakukuwa na dhuluma za serikali wakati wa Upapa wake, lakini alipaswa bado kupambana na farakano la Hipoliti wa Roma[3] pamoja na kuongoza kwa uaminifu Kanisa la Roma miaka minane [4].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, hasa tarehe 19 Mei, sikukuu yake[5].
Remove ads
Tazama pia
Maandishi yake
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads