Papa Benedikto II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Benedikto II alikuwa Papa kuanzia tarehe 26 Juni 684 hadi kifo chake tarehe 8 Mei 685[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2][3].

Jina la baba yake lilikuwa Yohane.
Alimfuata Papa Leo II akafuatwa na Papa Yohane V.
Mwimbaji wa Kanisa tangu utotoni, alijulikana kwa ujuzi wa Biblia na muziki. Pia alipenda ufukara, alikuwa mpole na mnyenyekevu, na kung'aa kwa uvumilivu na huruma kwa wahitaji [4].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads