Papa Yohane XIX
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Yohane XIX alikuwa Papa kuanzia tarehe 19 Aprili 1024 hadi kifo chake mnamo 1032[1].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Romanus wa ukoo wa watawala wa Tusculum, Roma, Italia[2].
Alimfuata Papa Benedikto VIII akafuatwa na Papa Benedikto IX.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads