Papa Benedikto IX

From Wikipedia, the free encyclopedia

Papa Benedikto IX
Remove ads

Papa Benedikto IX (1012 hivi – mwishoni mwa 1055 au Januari 1056) alipata kuwa Papa mara tatu: ya kwanza tangu Agosti/Septemba 1032 hadi Septemba 1044, ya pili tangu 10 Machi hadi 1 Mei 1045, na ya tatu tangu Oktoba 1047 hadi Agosti 1048[1].

Thumb
Papa Benedikto IX.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Theophylactus wa ukoo wa watawala wa Tusculum, Roma, Italia[2]..

Alimfuata mara ya kwanza Papa Yohane XIX, ya pili Papa Silvester III, na ya tatu Papa Klementi II.

Kila mara alifukuzwa madarakani kwa sababu ya matendo yake maovu[3] ila mara moja aliuza cheo chake, tendo la pekee kabisa katika historia ya Kanisa[4].

Hatimaye alifuatwa na Papa Damaso II[5].

Remove ads

Tazama pia

Maandishi yake

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads