Paskari wa Nantes

From Wikipedia, the free encyclopedia

Paskari wa Nantes
Remove ads

Paskari wa Nantes (pia: Pascharius, Pascaire, Pasquier; alifariki 635 hivi) alikuwa askofu wa 20 wa mji huo huko Bretagne, leo nchini Ufaransa, ambaye aliwakaribisha Ermelandi na wenzake 12 wakaanzishe monasteri katika kisiwa cha Indre [1].

Thumb
Mt. Paskari.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 10 Julai[2].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads