Patapi wa Thebe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Patapi wa Thebe (aliishi karne ya 4 hivi) alikuwa mkaapweke katika jangwa la Misri ambaye baada ya miaka michache alihamia Konstantinopoli katika mtaa wa Blacherne alikoanzisha monasteri na hatimaye kufariki dunia muda mrefu baadaye. Alizikwa katika monasteri ya Wamisri [1].

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads